Musoma. Familia ya baharia Mtanzania, Mchama Mongu aliyefariki dunia baada ya meli aliyokuwa akihudumu kushambuliwa kwa bomu katika Mfereji wa Hormuz, imeiomba Serikali kuharakisha mchakato wa ...
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kujifanyia tathmini ili kujiboresha kiutendaji, kimuundo na kiuchumi, kuelekea kipindi kijacho cha siasa. Mpango huo wa chama hicho tawala ni moja ...
Moshi. Aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba aliyeuawa na mwili wake kukutwa ukielea katika Mto Msimbani, eneo la Baracuda jijini Dar es Salaam, umezikwa katika ...
Madrid, Hispania Hali ya sintofahamu ndani ya Real Madrid imezidi kuwa mbaya baada ya kufichuliwa kwa jina la mchezaji aliyedaiwa kupigwa na beki Antonio Rudiger katika ugomvi uliotokea mazoezini. Kwa ...
Bunny aliwasili katika maonyesho hayo akiwa na mwonekano wa mtu mzee akiwa na nywele za kijivu ‘nywele zenye mvi’, mikunjo usoni huku akitembea kwa fimbo jambo lililopelekea kuonekana wa kitofauti ...
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Gonçalves. Picha na Yanga Dar es Salaam. Dakika chache baada ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, uongozi wa timu hiyo leo Jumatano, Mei 6, 2026 ...
Wasichana Kareen Didas (kulia, aliyevalia gauni jeusi) na Nakivona Toroka (kushoto, aliyevalia gauni jekundu) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kutoweka kwao. Arusha. Mfanyabiashara, Godwin ...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Mwanza, imekataa ombi la Wakili Reagan Charles lililolenga kutekeleza makubaliano ya malipo ya mdomo dhidi ya mteja wake, Kamugisha Byabato, kufuatia mvutano ...
Dar es Salaam. Zaidi ya mabasi 150 ya mwendo wa haraka (mwendokasi) yaliyoletwa kwa ajili ya kutoa huduma katika barabara ya Mbagala, yamekaa kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi. Hayo yameelezwa ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (kushoto) na kulia ni Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Evaline Munisi. Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza ...
Dar es Salaam. Rais wa mpito wa Mali, Kanali Assimi Goita amejiteua kuwa Waziri wa Ulinzi wa taifa hilo, huku akiendelea na majukumu yake ya urais wa kuiongoza nchi hiyo. Jana, Jumanne Mei 5, 2026 ...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), jijini Dar es Salaam, James Temba. Mwili wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results