Mwanafunzi wa shahada ya uzamili kutoka Tanzania, Catherine Boniphace Nkumingi, ametunukiwa tuzo ya Taasisi kwa Ufaulu Bora wa Kitaaluma katika maadhimisho ya 67 ya Siku ya Taasisi ya Indian Institute ...
‎Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji, madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya na wakuu wa taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kutoa huduma kwa haki na lugha za staha kwa wananchi.
BAADA ya kufanyika kwa droo ya hatua ya makundi, tayari wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika wameanza maandalizi. Yanga imepangwa Kundi ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya kusaidia meli zilizokwama katika malango wa Hormuz, akieleza kuwa ni msaada wa kibinadamu kwa mataifa yasiyohusika moja kwa ...
Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa ...
DAWATI la Jinsia na Watoto Mkoa wa Kipolisi Ilala limebaini matukio ya vijana kujichua, kujirekodi picha za utupu na kurusha mtandaoni yameongezeka, jambo ambalo ni ukatili na hatari kwa afya.
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa 'Death by hanging' Abdalah Mussa maarufu Mr. bluu, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Ezenia Kamana kwa ...
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amesema kuwa kuwepo kwa matoleo matatu tofauti ya “masharti 10” yanayodaiwa kuwasilishwa na Iran kwa Marekani kumesababisha mkanganyiko kuhusu msingi halisi wa ...
MJUMBE wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Prof. Ibrahim Juma, amesema katiba inasema wazi kwamba kila mtu anahaki ya kuwa na maoni na kwamba kuna watu ambao ndio wanataka ...