MKULIMA wa mazao ya bustani kutoka mkoani Manyara, Shaban Manota, anatarajia kuzindua mifumo ubunifu kiteknolojia katika kilimo, ili kusaidia kutoa elimu katika maonesho ya kimataifa ya wakulima ...
LICHA ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Wizara ya Afya nchini kusisitiza umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo na kuendelea hadi miaka miwili au zaidi, baadhi ya ...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) chini ya Mwenyekiti wake Ado Shaibu Ado imetembelea Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza kwa ajili ya kukagua miradi ya Ujenzi wa Jengo la ...
Makada wa Chama cha Mapinduzi, Ummy Mwalimu na Costantine Kanyasu wametoa ujumbe wa kuonesha ushirikiano kwa makada walioteuliwa kugombea ubunge licha ya wao kutoswa. Ummy Mwalimu aliyeomba kugombea ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa 'Death by hanging' Abdalah Mussa maarufu Mr. bluu, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Ezenia Kamana kwa ...
MJUMBE wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Prof. Ibrahim Juma, amesema katiba inasema wazi kwamba kila mtu anahaki ya kuwa na maoni na kwamba kuna watu ambao ndio wanataka ...
Katika jitihada za kuongeza matumizi ya simu janja, Samsung Electronics East Africa imeungana na Watu Simu kuzindua kampeni inayojulikana kama ‘Samsung Kibingwa’ nchini Tanzania. Kampeni hii ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana,Dk. Joel Nanauka, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi na kuwa tayari kushiriki shindano jipya la kitaifa la "Vijana Uchumi ...