‎Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji, madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya na wakuu wa taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kutoa huduma kwa haki na lugha za staha kwa wananchi.
Serikali ya Tanzania na Kenya zimesaini mikataba nane ya ushirikiano, ikiwa ni ishara ya kuendelea kuimarika kwa uhusiano wa mataifa hayo. ‎Mikataba hiyo imetiwa saini leo, Jumatatu Mei 4, 2026 mbele ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya kusaidia meli zilizokwama katika malango wa Hormuz, akieleza kuwa ni msaada wa kibinadamu kwa mataifa yasiyohusika moja kwa ...
Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa ...