DAWATI la Jinsia na Watoto Mkoa wa Kipolisi Ilala limebaini matukio ya vijana kujichua, kujirekodi picha za utupu na kurusha mtandaoni yameongezeka, jambo ambalo ni ukatili na hatari kwa afya.
Serikali ya Tanzania na Kenya zimesaini mikataba nane ya ushirikiano, ikiwa ni ishara ya kuendelea kuimarika kwa uhusiano wa mataifa hayo. Mikataba hiyo imetiwa saini leo, Jumatatu Mei 4, 2026 mbele ...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji, madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya na wakuu wa taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kutoa huduma kwa haki na lugha za staha kwa wananchi.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya kusaidia meli zilizokwama katika malango wa Hormuz, akieleza kuwa ni msaada wa kibinadamu kwa mataifa yasiyohusika moja kwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results