WATANZANIA leo wanaungana na watu wa mataifa mengine duniani kusherehekea Mwaka Mpya wa 2025. Kwa ujumla, furaha hiyo inatokana na ukweli kwamba kwa neema ya Mungu, wamevuka mwaka 2024 salama salmini ...
KLABU ya Yanga imesema tayari imempata Kocha Mkuu atakayeifundisha timu hiyo kwa msimu ujao wa mashindano, lakini haitomtangaza hadi hapo itakapomaliza zoezi la usajili ambalo yeye ndio analisimamia.
Dar es Salaam. Pendekezo la kupatikana kwa Katiba mpya ifikapo 2028, limefungua mjadala upya wa kitaifa kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini na wananchi, wakisema ikiwa litafanikiwa litakwenda ...
Imechapishwa 08.03.2026 Imechapishwa 8 Machi 2026 ilisahihishwa mwisho 09.03.2026 ilisahihishwa mwisho 9 Machi 2026 Baraza la Wataalamu la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei, mwana wa marehemu ...
HISTORIA mpya inaenda kuandikwa. Sasa ni rasmi Yanga imepata mzabuni aliyeshinda tenda ya kujenga uwanja wa klabu hiyo baada ya awali kutangaza mchakato huo na kutoa fursa kwa aliye tayari kuomba.
Mataifa ya Mashariki ya mbali yamekuwa ya kwanza kuukaribisha mwaka mpya 2026 huku Australia ikifanya onesho kubwa la fashifashi mjini Sydney. Mwaka 2026 tayari umeanza kwenye maeneo kadhaa duniani ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa ujumbe mzito wa Mwaka Mpya kwa ulimwengu akisema ulimwengu uko katika njia panda, ukikabiliwa na machafuko, sintofahamu na migawanyiko mikubwa ...
Hatua hii ni kubwa na muhimu, kuelekea Uganda pamoja na nchi jirani za Kenya na Tanzania, kwa pamoja kuandaa michuano ya AFCON 2027. Uwanja huo, umeigharimu serikali ya Uganda, Dola Milioni 130.
DAR ES SALAAM; KITENDAWILI cha nani atakuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, kimetegulies usiku huu baada ya klabu hiyo kutambulisha Pedro Gonçalves raia wa Ureno kuwa ndiye atakinoa ...
Yanga imesema imeshusha mzigo wa jezi mpya awamu ya pili zitakazokuwa na mabadiliko ili kuwakimbia wahujumu wa mapato wanaofyatua jezi feki. Akizungumzia hilo, Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ...
Nairobi Senator and ODM Secretary General Edwin Sifuna, MPs Babu Owino (Embakasi East), Gathoni Wamuchomba (Githunguri), Anthony Kibagendi (Kitutu Chache South), Obadiah Barongo (Bomachoge Borabu), ...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26 na Mapendekezo. Dodoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results