MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' juzi dhidi Mtibwa ...
PENGINE utakuwa ukijiuliza mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake, Stumai Abdallah wa JKT Queens yuko wapi, kwani mara ya mwisho alicheza dhidi ya Yanga Princess, Januari 18 mwaka huu.
DR Congo ambayo ina mchezaji aliyewahi kutamba Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele akiwa na Yanga ni moja ya timu zenye hadhi kubwa ...
NYOTA wa maafande wa Polisi Tanzania, Naku Kazimoto amesema licha ya kutoifikia rekodi yake ya mabao ya msimu wa 2024-2025, ...
KUTOKANA na Yanga kupishana na Simba kwa pointi tano, ina kazi ya kuhakikisha inashinda mechi dhidi ya Coastal Union ili ...
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge amedai mbio za Ligi Kuu Bara zimekuwa ngumu zaidi katika hatua za mwisho na kilichowagharimu ...
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wamehoji kuhusu Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kupata gawio la fedha ...
KOCHA Mkuu wa Hausung FC ya Njombe, Selemani Kitunda Simota 'Guardiola', amesema licha ya timu hiyo kutokuwa na mechi yoyote ...
BAADA ya kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa, mabingwa watetezi wa Ligue 1, Paris Saint-Germain wapo bize wikiendi hii ...
Manchester City ni miongoni mwa klabu zinazoiwania saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Vinícius ...
Mama yake ni Mfaransa aliyechanganya na Mualgeria. Kifupi kila mzazi wake ana uzungu na Uafrika. Inavyoonekana mama yake ...