Chombo hiki kinafuata makubaliano yaliyosainiwa Doha Oktoba 14, 2025, na hadidu za marejeleo zilizopitishwa Februari 2. Lakini tunawezaje kuelewa muundo wa utaratibu huu mpya na upeo wa kile ambacho ...
Baada ya karibu miaka 100 ya maendeleo, sasa matibabu yanayoimarisha mfumo wa kinga ya mwili ili kupambana na saratani ili kuokoa maisha ya wagonjwa yamepatikana. Maureen Sideris mwenye umri wa miaka ...
Chama cha Kijani kimetoa wito kwa serikali kufafanua sheria inayowataka wanaume raia wa Ujerumani wenye umri kati ya miaka 17 na 45 kupata idhini kutoka kwa jeshi ili kukaa kwa zaidi ya miezi mitatu ...
Uchambuzi muhimu umehitimisha kuwa dawa zinazodaiwa kuwa "mapinduzi" kwa Ugonjwa wa Alzheimer huenda hazitawanufaisha wagonjwa. Watafiti walisema matokeo ya dawa hizo yako "chini sana" ya kiwango ...
Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) imetangaza rasmi kuanzishwa kwa mashindano ya Qaswida yenye tungo na mashairi ya stara, yatakayoshirikisha wanawake wa ...
Marekani. Mkali wa Pop na RnB kutokea Canada, Justin Bieber, (32), anaripotiwa kupokea malipo ya Dola 10 milioni, wastani wa Sh25 bilioni, kwa ajili ya kutumbuiza katika tamasha la Coachella 2026 ...
Akizungumza na waandishi wa habari jijini New York, Marekani leo kwa njia ya video kutoka mjini Havana, Cuba, Pichon amebainisha kuwa siku 10 zilizopita, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ...
Katibu Mkuu wa BMT, Neema Msitha (wa tatu kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya Kamisheni ya Usimamizi wa Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Patrick Nyembera (katikati waliokaa) katika ...
SIMBA ilikuwa uwanjani jana dhidi ya Coastal Union, lakini kwenye mafaili ya mabosi wao kuna ripoti moja nzito kutoka kwa kocha Steve Barker iliyowasilishwa juu ya mastaa sita wanaotakiwa kikosini ...
KWA sasa D Voice kutokea WCB Wasafi, ni kati ya waimbaji wanaofanya vizuri katika muziki nchini akichanganya Bongofleva na Singeli, kitu kinachoonyesha ukubwa wa kipaji chake. Akiwa na miaka miwili ...