Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma muhtasri wa ripoti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, leo Machi 30, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam. Dodoma. Wadau wa ...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji kuelekea Siku ya Zimamoto Duniani Mei 4, yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazimmoja, ...
Wajumbe wa kamati ya uongozi ya Chama cha ACT Wazalendo, wakiwa katika kikao kilichofanyika Jumatano Aprili 29, 2026 katika ofisi ndogo za makao makuu ya chama hicho Vuga mjini Unguja. Dar es Salaam.
Dar es Salaam. Tanzania inatarajia kuwapokea viongozi wawili wakuu wa Afrika Mashariki, hatua inayotajwa kuongeza wigo wa ushirikiano wa kiuchumi na kisiasa katika ukanda huo. Rais wa Rwanda, Paul ...
Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama, Christopher Ndizeye (kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la Benki ya Biashara Mkombozi mjini Kahama, inayomilikiwa na Kanisa Katoliki. Picha na ...
Arusha. Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo kufanya utapeli, kutukana na kudhalilisha wengine, wakiwemo viongozi ...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki akizungumza katika Warsha ya maonesho ya Teknolojia za China jijini Dar es Salaam, Ijumaa Mei 1, 2026 Dar es Salaam. Wakati Tanzania ...
Njombe. Wanachama sita wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (Jowuta), akiwemo Mhariri wa Gazeti la Mwananchi, Tamali Vullu, wametunikiwa hati ya mfanyakazi bora ya mwaka 2025/26.
Baadhi ya vijana walioshiriki katika kongamano la la uzinduzi wa kampeni ya 'Kijana Tubonge', ambayo imelenga kuwaleta pamoja vijana wa kuanzia umri wa miaka 15 hadi 35 kuwapa elimu itakayowasaidia ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa hali ya hewa kwa kipindi cha siku 10 kuanzia Mei Mosi hadi Mei 10, ikieleza kuwa mvua zitaendelea kushuhudiwa katika maeneo ...
Waziri wa Afya wa Kenya, Aden Duale (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Amsons Group CEO, Edha Nahdi wakiONESHA mkataba wa makubaliano. Dar es Salaam. Kenya inatarajia kujenga hospitali 10 za kisasa za ...
Kibaha. Wafanyakazi mkoani Pwani wameeleza malalamiko yao juu ya kuendelea kwa changamoto walizowasilisha katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka jana, wakidai kuwa hadi sasa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results