Morogoro. Baada ya wakulima na wafugaji wa Kata ya Melela kuandamwa na matukio ya wizi wa mifugo kwa muda mrefu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeanzisha mkakati mpya wa ushirikishaji wananchi kwa ...
Dk Munisi ni Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi ambaye hivi karibuni Rais Samia alimteua kuwa mbunge kupitia nafasi zake 10. Waziri Mkuu amesema namna ambavyo uhalifu wa kimataifa hauna mipaka na ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Kheri Abdul Mahimbali, kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa). Uteuzi wa Kheri unakuja miezi mitano tangu aliyekuwa na ...
Mkuu wa Maliasili kupitia Ujumbe wa Umoja wa Ulaya, Lamine Diallo (katikati) akizindua rasmi Wito wa Tano wa Ufadhili wa Kichocheo wa Programu ya Funguo jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni ...
London, England. Mabao mawili aliyofunga Viktor Gyokeres dhidi ya Fulham juzi yamemfanya mshambuliaji huyo mpya wa Arsenal kuweka rekodi mpya kwenye kikosi hicho. Mshambuliaji huyo amekuwa akijadiliwa ...
Baadhi ya Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika mafunzo maalum ya uongozi ili kukabiliana na Changamoto za mifumo ya afya Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha uwezo wa ...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) la kuongezewa muda wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mahakama ya Wilaya ya Temeke, ...
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa (wapili kushoto) akiwa ameshikana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Helium One Global Limited, Lorna Blaisse na kuonyesha mkataba waliosaini kuanza uchimbaji ...
Moshi/Nairobi. Raia wa Tanzania, Anthony Juma maarufu Kipara, anashikiliwa na vyombo vya dola nchini Kenya, akituhumiwa kuhusika na mauaji ya kikatili ya mtoto Glorious Maore mwenye umri wa miaka 11 ...
Dar es Salaam. Tanzania inatarajia kuwapokea viongozi wawili wakuu wa Afrika Mashariki, hatua inayotajwa kuongeza wigo wa ushirikiano wa kiuchumi na kisiasa katika ukanda huo. Rais wa Rwanda, Paul ...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma muhtasri wa ripoti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, leo Machi 30, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam. Dodoma. Wadau wa ...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, akikagua gwaride la askari polisi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Polisi mkoani humo. Picha na Beldina Nyakeke. Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results